Kusanya maji ya mvua na gutter zenye ubora zaidi kutoka Nabaki. Gutters ni vipengele muhimu vya paa ili kuyatoa maji ya mvua kutoka paa hadi eneo linalohitajika. Wasiliana nasi kwa kutupigia simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu - Call" kupata namba zetu.