• Business Starts Here!

TZS 150M - Nyumba inauzwa Goba Maghorofani


Nyumba inauzwa Goba Maghorofani Nyumba inauzwa Goba Maghorofani Nyumba inauzwa Goba Maghorofani Nyumba inauzwa Goba Maghorofani

Nyumba inauzwa (house for sale)Goba Maghorofani. Unapitia njiapanda ya.Goba Kinzudi na unatembea hadi Maghorofani unaingia kulia mita 100. Eneo lake ni mita 45 kwa 35. Pameshapimwa na kuwekewa becons, na kulipiwa. Ina rooms 4 ambapo moja ni master bedroom kubwa sana. Kuna jiko, sebule, dinning na public toilets 2

Bei ni TZS 150M, mazungumzo kidogo yapo
Karibu sana kutupigia simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga simu" kuona namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product