Apartment inapangishwa Kijitonyama Masjid Qubah
- Zipo 4. Iliyopo wazi ipo ghorofa ya kwanza
- Ina vyumba viwili, kimoja ni master
- Choo cha public
- Sebule & dining
- Nyumba ina pavement kwa nje
- Madirisha ya aluminium yenye grill, sakafu ya malumalu (tiles), dari ni gypsum, milango & makabati ya mbao ngumu
- Vyoo ni vya kukaa na shower system ya kisasa
- Kila mpangaji ana mita yake ya umeme
- Taa za kumulika nje na miti inayozunguka fensi
- Kwa juu kuna summit kwa ajili ya kuanika nguo, kupata upepo au kuweka vifaa vyako vya mazoezi. Unaweza kuitumia kama sehemu ya shughuli ndogo za kifamilia
- Parking magari hadi 8
- Kijana wa usafi na ulinzi yupo
- Nyumba ipo mita 5 kutoka lami ya kuelekea Sinza Mori.
Kodi: TZS 600,000 kwa mwezi. Malipo miezi minne. Service charge kwa mwezi (maji, taka, usafi, ulinzi) ni TZS 35,000