• Business Starts Here!

TZS 45M - Nyumba inauzwa Bunju kwa bei rahisi


Nyumba inauzwa Bunju kwa bei rahisi Nyumba inauzwa Bunju kwa bei rahisi Nyumba inauzwa Bunju kwa bei rahisi

Hii nyumba ina vyumba vitatu, sebule na jiko. Ipo ndani ya fensi. Ina tiles. Bei ni chini ya soko ya milioni 45 tu. Ipo Bunju. Ujirani ni mzuri na ina Hati. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • CCM Complex
  • 30 Shekilango road
  • Sinza Palestina
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product