House for sale in Temeke Chamanzi. Ina bedrooms tatu ambapo kimoja ni master bedroom. Ina sebule, jiko, dining room na public toilet. Ipo kwenye kiwanja cha 20 kwa 20. Bei ni TZS 20 Million. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.