Nyumba inauzwa Temeke Chamanzi. Ipo karibu na Azam complex. Ina bedrooms tatu ambapo kimoja ni master bedroom. Ina sebule, dining room, jiko na public toilets. Iko ndani ya fence. Bei ni TZS 26 Million. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.