• Business Starts Here!

TZS 18M - Nyumba inauzwa Temeke Chamanzi


Nyumba inauzwa Temeke Chamanzi Nyumba inauzwa Temeke Chamanzi Nyumba inauzwa Temeke Chamanzi Nyumba inauzwa Temeke Chamanzi

Nyumba inauzwa haraka. Ipo Temeke Chamanzi. Ina bedrooms tatu ambapo moja ni master bedroom. Ina sebule, jiko, dining room na public toilet pamoja na parking garage moja. Haina hati ina mkataba wa  mauziano ya serikali ya mtaa. Bei ni TZS 18 Million. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product