Residential plot for sale in Goba kwa Mosha. Unashukia kituo cha kwa Awadhi. Plot size ni 25 kwa 35. Majirani ni washua tupu ... High class neighborhood. Maji na umeme vipo. Bei ni TZS 24 Million. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.