• Business Starts Here!

TZS 45M - Nyumba inauzwa Mbezi Luguruni, House for sale


Nyumba inauzwa Mbezi Luguruni, House for sale Nyumba inauzwa Mbezi Luguruni, House for sale

Nyumba inauzwa Mbezi Luguruni. House for sale in Mbezi Luguruni. 
Ipo karibu na chuo kikuu cha St. Joseph. Ina vyumba vitatu ambapo kimoja ni master bedroom. Ina jiko na dining room, sebule, public toilet. Ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 22 kwa 40. Kiwanja kimepimwa na kina leseni ya makazi. Bei ni TZS 45 Million. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo/maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu".

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product