• Business Starts Here!

TZS 1.5M - 3 bedroom apartment for rent in Mikocheni TPDC


3 bedroom apartment for rent in Mikocheni TPDC 3 bedroom apartment for rent in Mikocheni TPDC

3 bedroom apartment located in Mikocheni. Ina vyumba vitatu ambapo kimoja ni masta pale flat za TPDC barabara ya - Rose Garden. Nyumba ina choo/bafu public, sebule, uwanja wa watoto kucheza/shughuli ndogo za familia & parking magari idadi yeyote. Nyumba ipo floor ya chini. *KWA WALE WENYE FAMILIA CHANGA HII NI SEHEMU NZURI KWANI SHULE ZA CHEKECHEA, ZA MSINGI & SEKONDARI ZIPO KARIBU SANA* Shopping malls kubwa zipo karibu (Baraka Plaza, Shoppers plaza, Mayfair Plaza, Talk of the town). Sehemu za starehe zimejaa (tripple 7, Tipsy bull, Cine club, Saverio, Escape 1, Azura, Msasani beach). Sokoni, mahali pa kuabudu pia ni kwa kutembea tu. Flats zipo barabarani kabisa gari haigusi vumbi.


Kodi 1.5 Mil (inaongeleka) biashara au makazi. Malipo miezi 6. Karibuni nyote

Contact UsSend Email

  • Makumbusho Complex
  • Wakatibado Street
  • Makumbusho
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product