Nyumba ya kupanga ya vyumba vitatu. Ipo Kimara Baruti 1.5 Km kutoka Morogoro road, kwenye njia inayoelekea Chuo Kikuu.
Sifa za nyumba:
- Chumba kimoja ni master
- Ina sebule kubwa & dining
- Ina jiko lenye makabati
- Ina choo cha public
- Servant kota na choo/bafu la nje
- Inajitegemea kwenye fensi
- Madirisha ni frame ya mbao ngumu & glass, yana grill
- Dari ni cement & gypsum
- Milango ni mbao ngumu
- Sakafu ni malumalu (tiles)
- Paving block kwenye uwanja
- Parking kubwa ya magari hadi manne
- Ina mabanda ya kufugia kuku
Kodi ya pango ni TZS 400,000/=. Malipo ya miezi 6. Karibuni nyote.