• Business Starts Here!

TZS 90M - Nyumba inauzwa Kibamba kwa Mangu


Nyumba inauzwa Kibamba kwa Mangu Nyumba inauzwa Kibamba kwa Mangu

Nyumba ipo Kibamba kwa Mangu takriban mita 900 kutoka Morogoro road. Ina vyumba vitatu (3) ambapo viwili (2) ni self contained (master bedrooms). 
N.B: 
  • Master ni kubwa sana
  • Sebule kubwa, Jiko lina ukubwa wa kutosha. Store room na public toilets.
  • Eneo lake ni mita za mraba 1,000 (square meters)
Mitaa hii ni karibu na chuo cha Mloganzila na chuo cha St. Joseph. Ukiipangisha ni rahisi kupata mpangaji. Nyumba ina maji na umeme. Kiwanja kimepimwa. Tafadhali wasiliana nasi kwa simu kuweza kuitembelea. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu".

#House for sale in Kibamba kwa Mangi.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product