Toyota Alphard nzuri sana. Model ya mwaka 2004. Petrol engine size cc 2,390. Automatic. Bei ni TZS 18 Million. Lipia Million 10 tu na gari ikifika unamalizia Million 8. Hii ni pamoja na usajili na transfer. Tafadhali wasiliana nasi kwa simu. Bonyeza kitufe kilichandikwa "Piga Simu"