• Business Starts Here!

TZS 2.8M - Pellet machine sasa zinapatikana


Pellet machine sasa zinapatikana Pellet machine sasa zinapatikana Pellet machine sasa zinapatikana Pellet machine sasa zinapatikana Pellet machine sasa zinapatikana

Kama ulikuwa umepanga au kufikiria kuanzisha kiwanda chako ili kujizalishia chakula kwa ajili ya mifugo yako au kwa ajili ya biashara sasa wakati umefika. Sasa tunakuletea mashine za ukubwa tofauti tena zenye uwezo wa kutumia umeme kidogo tuu wa nyumbani katika kutenda kazi.

Mashine zina uwezo wa kusaga malighafi aina zote kama mahindi, mashudu na mifupa. Pia zina uwezo wa kutengeneza chakula cha punje  punje yaani pellets. Mashine zinapatikana katika bei nafuu zifuatazo

 • 300 kg kwa saa TZS 2,800,000
 • 500 kg kwa saa TZS 4,500,000
Pia zipo mpaka tani kumi kwa saa kwa wanaotaka kufanya miradi mikubwa.

Tunapatikana mikoa ifuatayo:
 • Arusha:- Sakina Raskazon Jenga Building shop no 10
 • Dar:- Mikocheni, Victoria.
 • Mbeya:- Kabwe mkabala na NMB Mwanjelwa
 • Mwanza:- Kona ya Bwiru
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Contact UsSend Email

 • Near Kairuki Hospital
 • Chwaku Street
 • Regent Estate
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product