TZS 8M - Residential plot for sale in Kimara Duka Golani
Viwanja vya makazi vinauzwa. Vipo eneo la Kimara Duka maeneo ya Golani. Vina ukubwa square meters 400 kwa bei ya TZS 8 Million na vyenye square meters 800 kwa bei ya TZS 16 Million. Tafadhali wasiliana nasi kwa kutupigia simu au kwa kutuma email.