• Business Starts Here!

Nyumba inauzwa  Chanika ya Gongolamboto

Nyumba inauzwa Chanika ya Gongolamboto TZS 45M

nyumba inauzwa chanika lelini nyumba haijaisha yakuezeka tu kiwaja leseni ya makazi serekali ya mtaa kinatambulika kiwanja kina ukubwa wa sqm 500 majilani wazuri maji na umeme vipo jilani.

Contact Details

  • Plot no. 41/A
  • Bagamoyo road
  • Mbezi Beach - Goig
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam
+255713418477

Send Email

Social MediaShare Product