Nyumba inauzwa Goba St Joseph. Nyumba ina vyumba vitano na kingine cha gym ina kiwanja chenye ukubwa wa square meter 3,600 (elfu tatu na mia sita). Imeisha na ni ya kuhamia tu. Njoo na mabegi yako. Bei sio kubwa ukilinganisha na nyumba. Ni ya kisasa na ina mandhari nzuri ya kuona bahari ukiwa kwenye veranda ya juu.