• Business Starts Here!

TZS 180M - Nyumba inauzwa Goba karibu na CRDB


Nyumba inauzwa Goba karibu na CRDB Nyumba inauzwa Goba karibu na CRDB

Tunauza nyumba hii. Ipo Goba nyuma ya CRDB bank. Zipo nyumba mbili (2) katika compound moja. Eneo  linalobakia bado ni kubwa. 
Bei ya sasa ni TZS 180 Million tu. Hati utapewa baada ya kutoka. Vilevile unaweza ukaibadili ikawa ya biashara mfano lodge/guest house na bar au unaifanya office au apartments. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. 

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product