Tunatafuta wateja wa kupanga apartment na yard kwa pamoja. Wateja km Wachina au Waturuki wa miradi mikubwa. Ghorofa kubwa lenye apartment sita na yard ya kupark malori takriban 30. Lipo Goba njiapanda ya Kinzudi. Iwapo una mtu au connections hizo wasiliana nasi tufanye biashara.