• Business Starts Here!

TZS 15M - Commercial plot for sale, plot ya biashara inauzwa


Commercial plot for sale, plot ya biashara inauzwa Commercial plot for sale, plot ya biashara inauzwa

Plot ya biashara inauzwa. Plot ipo Goba kwa Awadhi. Imekamata lami. Itafaa kwa ajili ya frames za maduka, hardwares au biashara zingine. Ukubwa ni square meters 320. Ina urefu along the road. Ipo nje ya hifadhi ya barabara. Bei ni TZS 15 million. Mazungumzo yapo. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product