• Business Starts Here!

TZS 23M - Plot ya makazi inauzwa Tegeta Mvumoni


Plot ya makazi inauzwa Tegeta Mvumoni Plot ya makazi inauzwa Tegeta Mvumoni

Residential plot inauzwa haraka. Ipo Tegeta Mvumoni, Block 2. Ina ukubwa wa square meter 1,200 na ina hati miliki ya miaka 99. Bei ni TZS 23 million fixed. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product