• Business Starts Here!

TZS 8M - 1999 Isuzu Bighorn, SUV, Inauzwa


1999 Isuzu Bighorn, SUV, Inauzwa 1999 Isuzu Bighorn, SUV, Inauzwa

Gari hii inauzwa ikiwa imetumika kutoka kwa mteja wetu aliye exchange tukamuuzia gari mpya. Ina diesel engine ya cc 2,700. Automatic gearbox yenye 4WD. Tunakaribisha exchange deals. Tupigie simu kwa maulizo zaidi.

Contact UsSend Email

  • Mwenge Tower
  • Sam Nujoma Road
  • Mlimani Area
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product