• Business Starts Here!

Mashine za kutengenezea vyakula vya mifugo


Mashine za kutengenezea vyakula vya mifugo Mashine za kutengenezea vyakula vya mifugo Mashine za kutengenezea vyakula vya mifugo Mashine za kutengenezea vyakula vya mifugo Mashine za kutengenezea vyakula vya mifugo Mashine za kutengenezea vyakula vya mifugo Mashine za kutengenezea vyakula vya mifugo

Kwa furaha kabisa tunapenda kuwafahamisha wateja wetu na wateja watarajiwa kwamba mashine super brand za kutengeneza vyakula vya mifugo zimewasili. Zinapatikana kuanzia uwezo wa kilo 100 hadi tani 10. Zipo zinazotumia umeme wa majumbani (single phase). 

Ili uweze kuhakiki ubora wa chakula unachowapatia mifugo yako ni bora ukajizalishia chakula mwenyewe lakini pia unaweza kuzitumia kuzalisha chakula cha biashara.

Mashine zilizowasili:
  • Mashine za kusaga na kuchanganya chakula (Grinder & mixer) - Uwezo ni kuanzia kilo 100 hadi 10,000 kwa saa.
  • Mashine za kutengeneza chakula cha samaki (Floating pellet machine) - Uwezo ni kuanzia kilo 150 hadi 500 kwa saa.
  • Mashine za kutengeneza chakula cha punje (Pellet machine) single phase na 3 phase - Uwezo ni kuanzia kilo 150 hadi 3,000 kwa saa.
  • Mashine za kuchanganya unga (Flour mixer) - Uwezo wa kilo 70 kwa saa.
  • Mashine za kukata kuku mdomo (Debeaking machine).

AFI GREEN EQUIPMENT CO LTD ndio kampuni pekee inayouza na kusambaza vifaa bora vya kisasa vya ufugaji nchini Tanzania. Bidhaa zote zinapatikana pia kupitia vituo vyetu vya mauzo vilioko ARUSHA, MWANZA, MBEYA, KAGERA NA DSM. Mawakala kutoka mikoani mnakaribishwa kuungana nasi kibiashara.

Contact UsSend Email

  • Near Kairuki Hospital
  • Chwaku Street
  • Regent Estate
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product