• Business Starts Here!

TZS 3.5M - Surveyed plots, Nunua mashamba, lipa kidogo kidogo


Surveyed plots, Nunua mashamba, lipa kidogo kidogo Surveyed plots, Nunua mashamba, lipa kidogo kidogo

Mashamba yanauzwa kwenye mradi wa Makurunge. Yapo umbali wa mita 900 kutoka Bagamoyo road. Yana ukubwa wa kuanzia ekari moja na kuendelea. Unaweza kununua kwa kulipia kidogo kidogo kwa muda wa miezi 12 (kumi na mbili) bila riba wala dhamana. Bei kwa ekari moja ni TZS milioni tatu na laki tano. Hati itatolewa baada ya malipo kukamilika.

Tafadhali wasiliana nasi kwenye namba zetu kwa maulizo au maelezo zaidi.

Contact UsSend Email

  • DABE House
  • Market Street
  • Mwananyamala Sokoni
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product