Viwanja vilivyopimwa kwenye mradi wa viwanja wa Mapinga. Viwanja vipo umbali wa kilomita 4.5 kutoka Bagamoyo road na umbali wa mita 700 kutoka baharini. Viwanja vina ukubwa wa kuanzia mita za mraba 400. Viwanja vyote vimepimwa na unaweza kununua kwa kulipia kidogo kidogo kwa muda wa miezi 18 (kumi na nane) bila riba wala dhamana. Bei kwa mita ya mraba ni Shilingi 15,000.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo au maelezo zaidi.