Viwanja vilivyopimwa kwenye mradi wa viwanja wa Makurunge Residential surveyed plots. Viwanja vipo umbali wa mita 1,600 kutoka Bagamoyo road. Viwanja vina ukubwa wa kuanzia mita za mraba 400. Viwanja vyote vimepimwa na unaweza kununua kwa kulipia kidogo kidogo kwa muda wa miezi 18 (kumi na nane) bila riba wala dhamana. Bei kwa mita ya mraba ni Shilingi 4,500 (elfu nne na mia tano).
Tafadhali wasiliana nasi kwenye namba zetu kwa maulizo au maelezo zaidi.