• Business Starts Here!

TZS 15k - Nunua kiwanja kwa mkopo, Viwanja vilivyopimwa


Nunua kiwanja kwa mkopo, Viwanja vilivyopimwa Nunua kiwanja kwa mkopo, Viwanja vilivyopimwa

Viwanja vilivyopimwa kwenye mradi wa viwanja wa Kerege Amani. Viwanja vipo umbali wa mita 1,500 kutoka Bagamoyo road. Viwanja vina ukubwa wa kuanzia mita za mraba 400. Viwanja vyote  vimepimwa na unaweza kununua kwa kulipia kidogo kidogo kwa muda wa miezi 18 (kumi na nane) bila riba wala dhamana. Bei kwa mita ya mraba ni Shilingi 15,000 (elfu kumi na tano)

Tafadhali wasiliana nasi kwenye namba zetu kwa maulizo au maelezo zaidi.

Contact UsSend Email

  • DABE House
  • Market Street
  • Mwananyamala Sokoni
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product