Look sharp and smart in our office wear, formal dress collection. Utapendeza tena ndani ya nguo za ofisini kutoka katika collection yetu kali kutoka UK na USA. Karibuni sana madukani kwetu kwa mahitaji yenu ya nguo za maofisini na smart dresses. Size zote zinapatikana. Tupigie simu kwa maulizo zaidi.