We have an extensive collection of Men perfumes (pour homme) and Ladies perfumes including the popular Jadore by Christian Dior, Cool Water by Davidoff and Unlimited by Hugo Boss, at both our shops. Please call us or visit any of our shops.
Tumefungua mzigo mpya wa parfum OG kutoka UK, zote utazipata kwenye maduka yetu. Tunazo pafyum kali za kike na kiume zikiwemo collection inayopendwa zaidi ya Jadore (Christian Dior), Cool water (Davidoff) na Unlimited (Hugo Boss). Karibu kwenye maduka yetu ujipatie unyunyu wa uhakika.