Thermometer/Hygrometer. Kifaa hiki ni maalum kwa kupima joto na unyevunyevu kwenye mabanda ya kuku ama mashine za kienyeji za kutotolesha vifaranga. Ni teknolojia ya Ujerumani na zinadumu sana. Sasa zinapatikana jumla na rejareja. Kwa maelezo zaidi tupigie simu kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu - Call"