Kwa kurudisha shukrani na upendo wenu kwetu, AFI GREEN EQUIPMENT LTD inakuletea special Christmas gift package.
- AFI GREEN incubator mayai 300 inayotumia umeme wa sola na kawaida.
- Cage ya kukuzia vifaranga 400
- Infared heater ya kuwapa joto vifaranga
- Vyombo vya kulishia/kunyweshea kuku
- Bila kusahau chanjo na kuchanjiwa vifaranga vyako bure kabisa.
Okoa mpaka TZS 500,000/ katika ofa hii. Hii ni kwenye branch zetu zote. Tupigie simu kwa maelezo zaidi.