• Business Starts Here!

AFI Green incubators


AFI Green incubators AFI Green incubators

Je wajua kwamba AFI GREEN INCUBATOR ndio brand inayoaminiwa zaidi na wajasiriamali wa ufugaji na utotoleshaji nchini Tanzania? Nikupe sababu tano za kuichagua brandi hii namba moja ya Incubators:

  • Uwezo wake mkubwa wa kuhifadhi joto pindi kukikosekana umeme, inahifadhi joto mpaka masaa 22.
  • Mashine imeundwa na controller mbili moja ya matumizi na nyingine ya dharula inapotokea hitilafu hii itakuwezesha kuendelea kutotolesha kwa faida.
  • Mashine imeundwa na visoma habari (sensors) za ziada ndani ili kuhakikisha taarifa inayosomwa ni sahihi.
  • Emergency alarm kengele hii ya dharula ni maalum kukujulisha endapo kuna hitilafu ya umeme au upungufu wa maji. 
  • Rain maker hakuna tena matumizi makubwa ya umeme kipindi cha utotoleshaji kwa vile mashine hizi hazitumii heater bali zinatumia teknolojia ya kunyesha mvua ndani ambayo itasababisha unyevunyevu wa kutosha utakaofanya utotoleshaji wako kuwa zaidi ya 90%
Orodha hii ya ubora wa AFI GREEN INCUBATORS inaendelea na kuendelea. Ukinunua AFI GREEN INCUBATOR hakikisha umepewa card ya warranty. Usalama wa mashine yako ni jukumu letu.

Contact UsSend Email

  • Near Kairuki Hospital
  • Chwaku Street
  • Regent Estate
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product