MBEYA MBEYA MBEYA
Huu sasa ni wakati wenu wakazi wa Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na maeneo yote jirani kujipatia AFI GREEN INCUBATORS kwa punguzo kubwa la 20%
Sifa za AFI GREEN INCUBATORS:
- Mashine zetu ni mbili kwa moja yaani (multipurpose)
- Zinatumia umeme kidogo kwa vile hazitumii heater kuzalisha unyevunyevu zinatumia rejeta.
- Zina warranty ya miezi 12.
- Zina uwezo wa kutunza joto hadi masaa 24 umeme unapokatika.
- Zina uwezo wa kutotolesha (hatching ability) wa hadi 95%
Punguzo hili ni maalum kwa tawi letu la MBEYA tuu. Kwa mawasiliano zaidi bonyeza kitufe cha "Piga Simu - Call" hapo juu kulia.