PUNGUZO PUNGUZO PUNGUZO
Kwa kuheshimu na kujali maoni yenu, wateja wetu, sasa tumepunguza bei ya cages zote za kufugia kuku.
- Kuku wa mayai (Layers)
- Kuku wa nyama (Broiler)
- Cage za vifaranga (Chicks cage)
- Cage za kuku wa kienyeji (Breeder cage)
Ni punguzo kubwa la 10% ambalo linapatikana katika ofisi zetu zote. Pia tutakupa huduma ya kukufungia bure pamoja na vifaa vya kuzalisha joto bure.
Wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe cha "Piga Simu - Call" hapo juu kulia.