Jaribu bahati yako na ujipatie nafasi ya kubadili maisha yako kiufugaji kwa kujishindia AFI GREEN INCUBATOR ya mayai 700 yenye thamani ya TZS 3,200,000 - bure. Mashine ni full automatic na ina warranty ya mwaka mzima
VIGEZO:
- Tembelea ofisi zetu zilizopo Mwanza Dar au Mbeya fanya manunuzi ya kifaa chochote kisha jaza kuponi jina lako na namba ya simu.
- Draw itarushwa live kwenye kurasa zetu za social media na mshindi atatangazwa 30/11/2018 Ijumaa.
- Kadiri utakavyojaza kuponi nyingi ndio utajiongezea nafasi ya kushinda.
Hii haijawahi kutokea,usiache ikupite