• Business Starts Here!

TZS 5,000 - Hadithi ya Kunguru na Chura Mzee


Hadithi ya Kunguru na Chura Mzee Hadithi ya Kunguru na Chura Mzee

SKU: 9987686427
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili, Translation
Product ID: 184

Walter Bgoya
Wazee wawili, Bwana na Bibi Mgogo, hawakujaaliwa hata mtoto mmoja. Katika saa za lala salama za umri wao ­ hawana mtoto ­ maisha yao yanakuwa ya huzuni lakini ndoto inabadilisha maisha yao ­ wanapata mtoto kwa njia ya ajabu ­ Je ni njia ipi hiyo? na nini kilimpata mtoto huyo baada ya kutosikia la mzazi…!

Contact UsSend Email

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product