• Business Starts Here!

TZS 6,000 - Heri


Heri Heri

SKU: 9789987686490
Categories: Contemporary, Language, Literature, Swahili
Product ID: 201

Zefania Kalumuna
Hii ni hadithi inayochambua jamii ya mjini kwa kina na kuweka bayana matukio na matatizo mbalimbali ya vijana na jamii nzima. Mhusika mkuu katika hadithi hii, Heri, ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi anayeona vigumy kizingatia masomo kwa vishawishi vya mapenzi na kukikuta amebanwa na mahitaji ya mpenzi wake, Pendo, na ukali wa walimy wake na jinsi anavyojitahidi kujikwamua. Baba yake Heri, Anamhamasisha kwa kumwambia kuwa hina lake, Heri, lina maana kubwa: Hangaikia Elimy Raha Inakungoja. Ni Hadithi nzuri inayoonya,kufundisha na kuelimisha. This novel is about city people and particularly the engagement of youth and society in cities. It tells the story of a student in the city who finds himself embroiled in a problematic love relationship that interferes with his education; and shows how he tries to extricate himself.

Contact UsSend Email

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product