• Business Starts Here!

2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2

2 bedroom cottage for rent | Nyumba ya vyumba 2 TZS 250k

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa
Location: Tabata Kisukuru, Maji Chumvi
Distance: Umbali wa dakika 10 kwa bajaj kutoka kituo cha daladala cha External, Mandela road.

Kuhusu nyumba:
Nyumba ipo ndani ya uzio wa matofali na ni mojawapo katika nyumba nyingine kadhaa za aina hiyo. Wapangaji wana gate/mlango wao wenyewe wa kuingilia. Kila nyumba ina maji na umeme (unajitegemea LUKU). Nyumba hii ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, na (shared) toilet. Nyuma ya nyumba kuna facilities za kuanikia nguo. 

Ni sehemu nzuri sana ya kufaa familia ndogo. Mtaa hauna kelele na kila nyumba ina uzio wake. Sio Uswaz. 

Malipo:
Bei ya nyumba kwa mwezi ni Shilingi laki mbili na nusu. Mpangaji anapaswa kufanya malipo kila miezi mitatu. 

Contact Details

  • Igusure Street
  • Mwananyamala A
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam
+255769448446

Send Email

Social MediaShare Product