• Business Starts Here!

Jiongeze ujikwamue kimaisha kwa kipato halali Jiongeze ujikwamue kimaisha kwa kipato halali

Jiongeze ujikwamue kimaisha kwa kipato halali

Katika ulimwengu wa leo kujiongeza ndio kila kitu, basi nasi hatuko nyuma kuhakikisha mtoto wa kike anapata kitu cha kufanya kumpatia muonekano mzuri lakini pia kujikwamua kimaisha kwa kujitengenezea kipato halali. Hawa ni wahitimu wa kozi yetu ya Makeup tunayoiendesha kwa muda muda wa wiki moja. Wasiliana nasi tukufahamishe zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu - Call" kutupigia simu.

Contact Details

  • Atsoko House
  • 06 Atisoko (Manyara) Street
  • Mikocheni B
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam
+255778062684

Send Email

Social MediaShare Product