• Business Starts Here!

ELIMU YA UJASIRIAMALI ELIMU YA UJASIRIAMALI

ELIMU YA UJASIRIAMALI

VIJANA HOUSE OF VISION 

Ni taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na utoaji wa elimu mbalimbali kama vile elimu ya ujasiriamali mafunzo ya biashara na mafunzo ya namna ya kujiajili mwenyewe.
Mafunzo ya biashara na ujasiliamali hutolewa bure na wataalamu mbalimbali waliobobea katika nyanja/fani  hizo.
Achilia mbali elimu tunazotoa pia tunaratibu vikundi vya wajasiriamali wadogo wadogo kwa lengo la kuwapatia elimu itakayo  wasaidia kujikwamua kiuchumi kwa wao binafsi na kuweza kukuza uchumi wa taifa letu kwa ujumla.

kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia simu;
0756708242/0712520633.

Contact Details

  • 95 Mwinyijuma Road
  • Mwananyamala A
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam
+255742066664

Send Email

Social MediaShare Product