TZS 20k - Viwanja vilivyopimwa Kimbiji Beach
MILIKI ARDHI UKIWA NA CHOLEMU INVESTMENT LIMITED NA ULIPE KIDOGO KIDOGO MPAKA UMALIZE DENI.
Viwanja vipo Kimbiji (beach plot)
Viwanja Vimepimwa
Umbali kutoka ferry mpaka kwenye mradi ni 33 km
Umbali kutoka baharinini mpaka kwenye mradi ni 300 m
Bei: 1 square meter @20,000/=
Unalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 18
Ukimaliza malipo unapatiwa hati yako karibuni sana
#plots for sale in kigamboni #plot for sale in kimbiji #surveyed plots