SKU: 9987686176
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili
Product ID: 227
Laurent Kamugisha
Bahati inapojitokeza mara nyingi haijulikani inakotoka. Ishara zake zinaweza kuwa nyingi au chache. Katika hadithi hii tamu, binti mmija anapata bahati kwa kumfuata ndege aina ya Yangeyange anayemvuta kwa kumdondoshea shanga nzuri sana. Soma ugundue siri ya ndege na shanga nzuri.