SKU: 9987686907
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili
Product ID: 229
J. Kalindimya
Katala ni mpenzi mkubwa wa mpira wa miguu. Anacheza mpira kila mahali. Katika harakati za mchezo huo, anapiga shuti kubwa, mpira unaingia mpaka jikoni na kuvunja vyombo. Mchezo unaishia hapo. Siku nyingine katika harakati za mchezo huo anakwenda na rafiki zake hucheza mbali zaidi. Mpira unasaidia kugundua maficho ya genge la wezi. Ni kwa namna gani?