• Business Starts Here!

TZS 5,000 - Kisa cha Binti Mfalme na Mpiga Zeze


Kisa cha Binti Mfalme na Mpiga Zeze Kisa cha Binti Mfalme na Mpiga Zeze

SKU: 9976973268
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili
Product ID: 240

Mkuki na Nyota Publishers
Kutoka kwa Mwandishi hodari wa hadithi za watoto na za vijana. Mchta Abeid, hii ni hadithi i tamu yenye kuonyesha mapenzi, uvumilvu na mwishowe mafanikio. Mpiga zeze hodari, lakini maskini anamua kufanya kila awezalo ili aweze kumwoa Binti Mfalme. Kati ya nia yake na mafanikio kuna nchi ya mbali na yenye watu wa hatari wenye miguu mitatu na uwezo wa kuruka. Hapa nguvu hazifui dafu. Akili na bahati kubwa kwa sababu si wachache waliojaribu. Yeye tu ndiye aliyefanikiwa. Kwa nini? Kwa sababu sauti yake tamu ilimfungulia mlango ambao usingefunguka kwa nguvu yoyote nyingine.

Contact UsSend Email

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product