Karibu ujipatie trolley hii inayofunguka na kufunga kwa kuhifadhia vitu vyako kama matunda, mbogamboga, viungo vya kupikia na hata vifaa vya saloon au ofisini. Ina sehemu nne unazoweza kuzitumia pamoja na juu yake pia unaweza kupatumia wa kuwekea vitu pia. Inapatikana kwa jumla na rejareja