• Business Starts Here!

TZS 5,000 - Lango la ajabu


Lango la ajabu Lango la ajabu

SKU: 9976973985
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili, Translation
Product ID: 252

Deogratis M. Simba
Maisha ni mfululizo wa mapambano. Ukweli huu unadhihirishwa na hadithi hii tamu ambapo vijana wawili, Mosi na Sankuta, wanaingia katika kinyang’anyiro cha kugombea Ufalme, kielelezo cha juu kabisa cha mafanikio. Ili mtu apate ushindi, anahitaji: ujasiri, ushupavu, uvumiluvu, subira, hekima, akili, na ujanja. Nani atashinda kati ya vijana hawa? Fuatilia.

Contact UsSend Email

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product