SKU: 9976686982
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili
Product ID: 269
P. Dominic
Hadithi hii tamu inamhusu Samaki aliyepoteza maisha yake sababu tu ya kutaka sifa. Rafiki zake waliazimia kumnusuru laini yeye akajiangamiza mwenyewe. Fuatilia hadithi hii kwa makini ili uelimike na kufaidika.