• Business Starts Here!

Methali za Kiswahili kitabu cha 1 Methali za Kiswahili kitabu cha 1

Methali za Kiswahili kitabu cha 1 TZS 6,000

SKU: 9789987686508
Categories: Language, Secondary, Swahili, Textbook
Product ID: 290

M. Abdulhamid
Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vya Methali za Kiswahili. Kina mambo yafuatayo: Methali mia moja na ishirini na tano za Kiswahili Methali zenyewe zimepangwa kiabjadi Kila Methali imeelezewa maana yake, hekima yake na jinsi inavyotumiwa. Ni kitabu muhimu kwa kila mwalimu na mwanafunzi wa Kiswahili, na kila aipendaye lugha hii.

Contact Details

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam
+255787558448

Send Email

Social MediaShare Product