• Business Starts Here!

TZS 6,000 - Methali za Kiswahili Kitabu Cha 3


Methali za Kiswahili Kitabu Cha 3 Methali za Kiswahili Kitabu Cha 3

SKU: 9789987686524
Categories: Language, Secondary, Swahili, Textbook
Product ID: 294

M. Abdulhamid & A. Baruwa
Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa vitabu vya Methali za Kiswahili. Kina mambo yafuatayo: – Methali mia moja na ishirrini na tano za Kiswahili; – Methali zenyewe zimepangwa kiabjadi; – Kila methali imeelezwa maana yake, hekima yake na jinsi inavyotumiwa. Ni kitabu muhimu kwa kila mwalimu na mwanafunzi wa Kiswahili, na kila aipendaye kugha hii.

Contact UsSend Email

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product