• Business Starts Here!

TZS 6,000 - Misingi Bora ya kuandaa miradi wa mbalimbali


Misingi Bora ya kuandaa miradi wa mbalimbali Misingi Bora ya kuandaa miradi wa mbalimbali

SKU: 9987417116
Categories: Language, Reference, Swahili
Product ID: 304

L. J. Mshana
Ili kuhimili mabadiliko yanayoletwa na mchakato wa utandawazi, watu binafsi na jamii kwa ujumla kawana budi kufahamu na kutumia kanuni bora za kuendesha miradi ili kuongeza uzalishaji na tija. 

Kitabu hiki kimeandikwa kwa makusudi ya kuwasaidia vijana na Watanzania wote kwa ujumla kupata maarifa ya namna bora za kuanzisha miradi endelevu. Ni kitabuambacho kitawafaa watendaji katika ngazi mbalimbali za Serikali kuanzia vijiijini hadi taifani. Bila shaka kila mmoja atanufaika na maarifa yaliyomo humu, hasa kwa wale wanaokusudia kuanzisha miradi yao wenyewe na wale wanaosimamia miradi ya jamii.

Contact UsSend Email

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product